Maisha ni Siku tatuuuu Jana imeshapitaaaa Léo tumeonaaaaa kesho hatujuwi itakuwaje mungu ndiye anajuwaaaa ya keshooo ni mikononi mwakeee tuishi vizuri Léo nawenzetu Léo ndiyo inatayarisha keshooo na kwenye maisha Yako mungu anawezaaa kumutuma mutu usiye mufahamuuu kwa ajili yakuboresha maisha yakooo Maisha ni Siku tatuuuu Jana imeshapitaaaa Léo tumeonaaaaa kesho hatujuwi itakuwaje mungu ndiye anajuwaaaa ya keshooo ni mikononi mwakeee