[Intro]
P faridi Alamry Pemba, wana soka, karibuni
[Verse 1]
Azam FC vs Yanga FC, wageni wetu karibuni pemba ndani ya uwanja wa Gombani
Shangwe za wakazi wetu na wageni wetu zinaleta nguvu na hamasa
[Chorus]
Azam na Yanga, furaha ya soka inawaka,
Pemba na Wete City, tunaimba kwa moyo mmoja,
Mungu ibariki Tanzania na watu wake hongera muheshimiwa rais Mama yetu mpendwa doctor samia suluh Hassan wapemba wote tuna kusalimia mungu ibariki nchi yetu hongera muheshimiwa rais doctor Hussain aliy mwinyi Wana wete city milele tuna kuaminia awamu ya nane bado tuna furahia hongera mama yetu mzuri mku WA mkowa dua nyingi tuna kupatia mungu ibariki kazi yako pamoja na watanzania mgeni hatibu yahya mama yetu pambana tuna kupigania hongera muheshimiwa mbunge amour auto wete city inakutegemea mtetezi muaminifu mungu ataku simamia mungu ibariki kazi yako kwetu huna baya tuna kusikia ongea Tutakuongelea kuambia wete city f
ahari yetu daima tuna jivunia mungu wabariki viongozi wetu pendwa na ku wasimamia
[Verse 2]
Wete City Academy, tuna wakaribisha pemba, stadium from chake city na bidii ya vijana wa soka wete city
Tunapiga makofi, tunashangilia pamoja kwa amani
[Chorus]
Azam na Yanga, furaha ya soka inawaka,
Pemba na Wete City, tunaimba kwa moyo mmoja,
Mungu ibariki Tanzania na watu wake
[Outro]
Asanteni, hadi mechi ijayo visit Pemba hakuna matata mapinduzi cup 2026 final WETE CITY media