Na mpenda, na mpenda yesu wangu uko mwema! Na mpenda, na mpenda yesu wangu uko mwema.
Mimi na mpenda na mpenda yesu wangu WE djo baba! Na mpenda, na mpenda yesu wangu uko mwema.
Mimi na mpenda ! Yesu mwema !
Na mpenda ! Yesu mwema.
Mimi na mpenda ! Yesu mwema.
Na mpenda, yesu mwema.
Ata Nina kosa mimi ta mpenda yesu mwema, ata mu mateso miye tampenda yesu mwema.
Mimi na mpenda ! Yesu mwema !
Na mpenda ! Yesu mwema.
Mimi na mpenda ! Yesu mwema.
Na mpenda, yesu mwema.
Kwa sabambu nana hamini yesu Akitaka mita zala! Na mpenda na mpenda kwa sabambu tuko mwema. Kwa sabambu Nina hamini yesu Akitaka nitapa kazi!! Na mpenda na mpenda kwa sabambu tuko mwema. Kwa sabambu Nina hamini yesu Akitaka nagari bita uza! Na mpenda na mpenda kwaza sabambu tuko mwema. Kwa sabambu Nina hamini yesu Akitaka nita yenga niumba! Na mpenda na mpenda kwa sabambu tuko mwema.
Miye sedrick monga, Nina djua kupata kwangu, ni paka Yeu, ata mina force kama yesu achinipe chita pata.
Kumbi kupata kwangu ! Ni yesu. Kupata kwangu ! Ni yesu. Kuuza gari ! Ni yesu ! Ku voyage ! Ni yesu. Ku iba kwangu ! Ni yesu. Viashara yangu! Ni yesu. Investissement yangu! Ni yesu. Capital yangu! Ni yesu.
Promotion yangu! Ni yesu. Eeh baba ku wina kwangu ni yesu. Kuzala kwangu ! Ni yesu ! Ni yesu. Ku owa kwangu ! ni yesu. Masomo yako, ni yesu. Dowa Yako ! ni yesu.
Mimi na mpenda ! Yesu mwema !
Na mpenda ! Yesu mwema.
Mimi na mpenda ! Yesu mwema.
Na mpenda, yesu mwema.