Jack_money
Mziki na Mimi, na Mimi na mziki
Nasongesha mashini,
kwanzangu mashabiki,
kwatajiri masikini, kwetu hatuamiliki, mikoni mbili hewani, na bado tuondoye mashuki,
Bado mulikuwa hamujuwe mi ni Nani, siye mwengine ni flow za jack money, kamaunabishanikute kwanye fani, kwamba mini bingwa siogopi mandagraundi, eti agachala agachala kitu gani, ujifunze tena jeudi shuleni,
Kama jack money Niko hewani, wapizani nawaweka downi, nikama mwalimu anaandika ubaoni, nani kama Jack money iko kwenye fani, hawanatu kunichezeya, sikuji kwaubaya bananiangaliya, bado sijasara bananikimbiya, sababu ya mziki wananiogopa, sababu ya teacher Jack money teacher mwenye rwapa. Jack money muokozi wa rwapa, Jacques many kwenye flo wanaogopa, jack many jack many king of king Jack money
Jacques money
Aaaaaaah Jacques money