[INTRO]
Fari dates, Yeah
(Grrt)
Zealous!
Bow, bow
100k... uh
[HOOK]
100k nasonga naiyo pace (Pace!)
Na nakuja kutesa kwa base (Tesa!)
Zealous nazidi kupata more fame (Fame!)
Nang'ora watiaji jua realest they say (Realest!)
100k nasonga naiyo pace (Skrrt!)
Na nakuja kutesa kwa base (Base!)
Zealous nazidi kupata more fame (More!)
Nang'ora watiaji jua realest they say (Say!)
[VERSE 1]
Fari anakuanga joh chaki (Chaki!)
Kichwa ni mbaya ni yardie (Yardie!)
Mradi anapiga niya ganji (Ganji!)
Riba nakataa ni umbwakini (Haram!)
Mtaani warazi walaku ni ngafi (Ngafi!)
Figure na double nawapa me fingers (Fuck 'em!)
Kidole cha kati, hali sijali (Sijali!)
Hatari G adhari (G!)
[VERSE 2]
Niko juu, si mchezo, niko locked in (Locked!)
Pesa inaongea, wengine wame-quiet (Shhh!)
Walinicheka low, sai wana-stalkin' (Heh!)
DMs full, wananichocha, si cocky ni confidence (Facts!)
Natoa drip SOHO, designer (Drip!)
Nairobi to the world, sina filter (Real!)
Niliacha kulala, nikachase paper (Chase!)
Sai tunalamba, wao bado wanawaza (Wabaki huko!)
Switch lane, coupe, naona blurry (Skrrt, skrrt)
Wote fake love, mi naona clearly (Clearly)
Mama aliniombea, sai najibless (Bless!)
Mungu tu, hakuna stress (Yeah!)
[HOOK]
100k nasonga naiyo pace (Pace! Pace!)
Na nakuja kutesa kwa base (Tesa!)
Zealous nazidi kupata more fame (Fame! Fame!)
Nang'ora watiaji jua realest they say (Realest nigga!)
[VERSE 3 - KILLER VERSE]
100k kwa mfuko, bado nasaka milli (Milli!)
Wanasema ni bahati, kumbe ni hustle daily (Daily!)
Nimechapa shift, wao wamebaki kwa telly (Telly!)
Mimi kwa booth, nawatengenezea kelly (Grrt!)
Sina time ya beef, mi na-chase bag (Bag!)
Wanapiga story, mimi na-stack cash (Cash!)
Niko na plan, wao wana-chase clout (Clout!)
Nikisema ni real, basi ni real, no doubt (No doubt!)
Madem wananiita, "Zealous uko wapi?" (Wapi?)
Nawaambia "Studio, siwezi, na-count" (Count!)
Nimekataa pombe, nimekataa fangi