Lendasoooon
Hii ni kwa familia ya Ezekiel…
Eehhh eeeeehhh eeeeeehhh eee
Maombi yetuuuuu
maisha yetuuuuuu
mapenzi yetuuuuu…
eeeeeeh eeeeeh eeeeeee
Hii ni hadithi ya familiaaaaa
usikie moyo wakoooo…
femle,male vocal
Naona gizaaa!
Sipati maonoaa! eeeeeh eeeh
Nini kinafata mbelee juu ya maisha tunayo yaishiiiiiiiiiiii
[Verse 1]
Hakuna afuweni ya maisha
Kadri siku zisongapo
Ugumu wa maisha ndio unaongezekaaaaa!
Sina mali, sina nyumba, wala mifugo
Kwamba siku nikifaa
Watoto wangu nitawaachia ninii eeeh eeeehh
🎶 [Pre-Chorus –
[Chorus]
Hata nisipokufa mapema uzee utanitesa, iiiiiiiiiiiihh
Eze atauliza??,
nini ulifanya baba ulipokuwa kijana?
Rehema atauliza??
Revina atauliza pia
Zarmili atauliza nini ulifanya baba ulipokuwa unanguvu za ujana
eee eh eeeehh eeeeeeeehh
male,female
[Verse 2]
Jibu ni kwamba kuwa utayaona wananguuu
Umri unakwenda na safari ya kulisogelea kaburi inapungua iko karibu
Eemungu mgawa liziki kwa woote
Haya ni maombi yangu uuuuu.
Nipe na mimi, nikumbuke na Mimi kama wengine eeeeeh eeehhh eeehh
Ninafanya kazi za halali.
Sijazulumu mtuuuu eeemunguuuuuuu eeeeh eeehhh
🎻 [Bridge – Emotional Breakdown
kama lenda nikifaaaaaa
nisiache manyanyaso kwa wanangu.
eee eh eee eh eee
Kumbuka mungu.
maombi aliokuwa akikuomba baba yetu Ezekiel.
Maombi yamechelewa kufika mpaka kifo kimemchukuwa aaaaah aaaaahh
Naomba utubariki kupitia maombi aliyokuwa anakuomba baba yetu uumpe malii,uumpe na afya njema
Tusidhalilike machoni mwa watu na ndugu
Hata leo tukiuguwa mungu unajuwa hatuna hata bima ya afya wala fedha za kutibiwa tunategemea rehema zako
eliza, akiuguwaaa,neemaa akiuguwaa.
kulwa namaaa wakiuguwaaa
tegemeo ni wewe munguuuu eeeeeeeh eeeehhh eeehhh
male,female
[Outro]
Ombi letu kwako mungu, utuepushiee magonjwa, mikosi na dhiki
Bariki uzao wa Ezekiel baba yetu atokee hata mmoja ambaye mwenye roho ya kusaidia uumpe mafanikio makubwa ili ndugu zake wanufaike kupitia baraka ulizompaa
Outro – Piano Only + Soft Voice]
Aaaaaminaa