Call me Liga…
Nipo na chéri Def kwenye beat…
Lubichakooooo eeh!
Appel en Couru juu kabisaaa!
Hook
Appel en Couru eeh moto wa Lubichako 🔥
Nganda safi hakuna wa kushindana nayo
Tajiri Lusamaki anajua kuhudumia watu poa, pombe kali, tunafurahi wote huku
Appel en Couru eeh raha za mjini
Usafi mpaka chooni
Mamiss warembo wanapendeza kila siku
Ukifika pale unatamani kulala 🎶
Verse 1
Tajiri Lusamaki anajua sana biashara
Anapokea watu wote bila ubaguzi wala dharau
Kaunta iko moto na huduma safi kabisa
Contoiriste Aksanti anatuheshimu kwa tabasamu tamu sana
Manager Bafunye Gera mukuu wa kazi
Akisimama pale kila kitu kinaenda vizuri,
mon grand manager Maroc Bale
Wateja wakifika apa wanarudi tena kwa furaha
DJ Sami Dolare kwenye mix ni noma
Akipiga Singeli na Piano watu wanachanganyikiwa
Lubichako yote wanajua hii ni number one
Appel en Couru ni nganda ya maboss bana!
Hook
Appel en Couru eeh moto wa Lubichako 🔥
Nganda safi hakuna wa kushindana nayo
Bei ni poa pombe kali za kisasa
Ukifika pale unasahau mawazo kabisa
Verse 2 – Mamiss wa Appel en Couru
Pisi kali priska tabasamu la hatari
Akicheka wanaume wanabaki kimya ghafla yani
Pisi kali faraja anajua kuvaa vizuri
Mwendo wake wa taratibu wanaume wanachizika kweli
Pisi kali Florence ni fashion killer
Akifika pale nganda inawaka kama dealer
Jeteme malkia wa usiku
Na Furaha analeta furaha kwa kila mtu
Chadia mrembo wa kipekee
Katherine akicheza watu wanageuke
Angeline anapendezaga sana Kila siku
Ketia ni star tena mrembo sana
Odette mwenye smile ya kuvutia sana
Rukunda anatingisha nganda yetu
Rozette mototo mrembo sana
lumière kama jina lake wangaza wa nganda
letisia pisi kali sana mpaka mapagawa
Warembo wa Appel en Couru wanaua kwa style yao 🎶
Bridge
Lubichako oyeeeh!
Kama raha ni Appel en Couru
Kama usafi ni Appel en Couru
Kama huduma nzuri ni Appel en Couru
Tajiri Lusamaki juu milelee!
Outro
Call me Liga…
Nipo na chéri Def kwenye beat…
DJ Sami Dolare ongeza volume!
Appel en Couru mpaka asubuhi eeeh 🔥🎶