🎤 TITLE: FC KIBUNGE RAHA KWANZA
(By Call me Laliga Morisho Kashindi Frédérick)
Intro
Call me Laliga… Morisho Kashindi Frédérick 🔥
Salamu kwa bro wangu Morisho Ngassa Alkaida
Suai Suai, The Bonne… mpo juu 💪
Heeeeee… hahahaha 😄
Iyii iyii haaa… Éboulema Buuu💥
Hook (Chorus)
FC Kibunge, Raha Kwanzaaaa ⚽🔥
Ngalula tunatawala bila shidaaa
Secta ya Nganja mpaka kandokando
Makombe matatu, sisi ndo mabingwa🏆🏆🏆
FC Kibunge, Raha Kwanzaaaa
Kila mechi tunawasha kama jua la mchana
Ukisikia jina letu wanatetemeka
Éboulemaa… buuu tunabomoka 💣
Verse 1
Kikosi chetu moto, kila mtu star
Amisi Malawa anacheza kama ture
Nyoka anachenga mabeki kama upepo
Kapta Ami anaongoza kama kiongozi wa kama mukuu bila kusahahu coach aluce
Goal kipa Gode Apalakah ukuta kamili
Mipira yote anakamata, hana mchezo wa siri
Namba kumi Omi nusu Messi wa mtaa
Akigusa mpira tu mashabiki wanapiga mayaaa
Namba kumi na moja Maroc Bale kasi ya moto
Winge na Michel anapiga cross bila kuchoka
Conseye Msambya akili ya mchezo
Kila pasi yake ni kama dhahabu kwenye meza
Hook (Chorus)
FC Kibunge, Raha Kwanzaaaa ⚽🔥
Ngalula tunatawala bila shindaaa
Secta ya Nganja mpaka kandokando
Makombe matatu, sisi ndo mabingwa 🏆🏆🏆
Verse 2
Mzee wa Putulu Alphonse Kamata legend
Le mukubwa Batere Sarkozy bila kusahahu
Balikutuma hari anaimba vizuri sana
Papa de sport Sanduku anasimamia vyema
Mon Grand Président Jomali Makuta 👑
Anajenga timu, anafanya kazi safi kabisa
Mama yake ya Soge tunawapa heshima
Bibi ya Kapitula, mapenzi ni ya dhahiri sana ❤️
Mashabiki wakipiga kelele uwanja unatetemeka
Kibunge ikicheza wapinzani wanajificha
Hii sio timu ya kawaida, hii ni historia
Kila mechi ni ushindi, tunaandika gloria ✍️🔥
Bridge
Heeeeeee… hahahaha 😄
Iyii iyii haaa… éboulema iyii iyii haaa… Éboulema Buuu💥
Hook (Chorus) buuu 💥
Tunaingia, tunabomoa, tunatawala
FC Kibunge hakuna wa kutuzuia ✊
Outro
Call me Laliga Morisho Kashindi Frédérick 🎤
Hii ni sauti ya ushindi, sio hadithi
Kibunge Raha Kwanza milele juu
Ngalula nzima inaj