Nema ya bwana ! Ikwako. Iyo nema yake! Ikwako. Nehema ya bwana ! Ikwako. Iyo nema yake, ikwako. Sedrick monga! Ikwako. Iyo nema yake, ikwako.
Kupata kazi !
Ni nema. Ku Pata kaodi, ni nema. Ku owa bibi ! Ni nema. Ku isha journée ! Ni nema. Iyo nema yake ! Ikwako. Nema ya yesu! Ikwako, iyo nehema yake. Ikwako.
Nema ikwako ! Nema ikwako.
Ku isha masomo, ni nema. Ku Pata kazi, ni nema. Kwa congolais, ni nema. Kwa Tanzanie, ni nema. Kwa africain ! Ni nema, iyo nema yake ! Ikwako.
Nema ya bwana ! Ikwako. Iyo nema yake ! Ikwako ! Nema ya yesu, ikwako. Iyo nema yake! Ikwako. Sedrick monga, ni nema, kile Wiko! Ni nema.
Kaodi monga, ni nema, kile Wiko! Ni nema. Marcia membwe, ni nema kile Wiko. Ni nema.
Fatchi béton, ni nema, kile Wiko, ni nema. Maman Deniz ! Ni nema kile Wiko ! Ni nema. Ba fonctionner ya l'ETA, ni nema. Kile mwiko ! Ni nema. Ba journaliste, ni nema, kile mwiko ! Ni nema. Taximene kwisha journée ! Ni nema. Aina fasile upate carburant, versement na lagose, naku panda chuka, ni nema.
Ku pata capital, ni nema. Ku voyage naku fika ni nema.
Usi Kate tama yesu ana weza kuku Saidia katika chida zako.