[Intro]
[Verse 1]
Map presenter mna pigo za kisenge, hamnitishi nawachana mpende msipende
Na kama ni bure nigga mtanyonya ma *ede*; sifagilii bushi nigga nafagilia skaska
Beach nalotoka nigga nimelelewa na ma gangster; karibu street beach la ma gangster
Eeyeeh street; oya hii ndii code ya street
Street oya hii ndio code ya street
[Chorus]
Oya hii ndio code ya street, street oya hii ndio code ya street
Oya hii ndio code ya street, yeah
[Verse 2]
Niko kwa base na na OG hatuchezi na jokes
Mbao kwa mfuko hatuna time ya kuskiza stori zao
Ukija na vibaya, utarudishwa na mazuna
Mimi si wakupiga show, mimi ni wa kuwa mwelekeo
Ukiniita mtoto wa mjini nitakukumbusha
Nimekulia kwa street na wanangu wa ubavuni
Sahani moja tuna share, ndoto moja tuna follow
Leo tunavuta moshi, kesho tuna drive range
Oi oi oi
Oya hii ndio code ya street, street oya hii ndio ya street
[Verse 3]
Oya skiza sawa, hii ni kutoka moyoni
Nilipanda kutoka chini, sa tunawalola juu
Mimi ni mchonyi halisi, nimechill na masela
Wasee walisema sitafika wakaona nikapita
Sina time ya drama zako, watuache tusake tonge
Beach ya nyumbani, mchanga nd
[Bridge]
[Chorus]
Oya hii ndio code ya street, street oya hii ndio code ya street
Oya hii ndio code ya street, yeah
[Outro]