Mupenzi wangu mervedi nakupenda sana wewe ndiyo umu uteka moyo wangu mimi kalebe naku aidi ntakupenda nasita shoka kukupenda wewe sinjaona duniani maaba matamu unaashiliya napewa bure sinja lipia kila nashotaka una nipa sasa nitoke kwako niende wapi mimiiii njauri yakukuasha ndosina nakupenda hakuna kuashana moyo wangu iko Salama tangu nikupate nisa teseka sana sasa asha ninenepe ulikuwa wapi maman mervedi wangu