[Intro]
Bwana ndiye kimbilio , ngome langu jemedhari wangu, mimi nitamtumainiaa katika maisha yangu
(Chorus)
Heri wao wamtumainiao bwana kumfanya kuwa kimbilio lao maana watakapotupwa kwenye tanuru la moto bwana atawaokoaaa
Heri wao wamtumainiao bwana kumfanya kuwa tegemeo lao maana watakapotupwa kwenye tundu la simba bwana atawaokoa*2
Verse 2
Kwa manyoya yake atanifunika, chini ya mabawa zake nimempata yeye kimbilio uaminifu wake ni ngao yangu*2
Vers 3
Ukibisha anafungua , ukiuliza anakujibu yeye anasikia vilio vya watoto wake*2