Verse1
Kila muda, kila dakika,
Kichwani unazunguka,
Tena Moyo wangu unadunda;
Nisipo kuona, nakupenda.
Chorus
Sijaribu kwenda mbali my beib;
Mwenzako bila wewe Siwezi,
Tena monyonge kwenye lako penzi,
Nitakufa ukiniacha wee!,
Nakupenda,
Nakupenda ;
Nakupenda,
Nakupenda ;