Nakumbuka ilikuwa 2021,darasani me nikikuona,
Wengi wakanong'ona,et mimi sio hadhi ya wewe kukuona,
Japo nilikuwa masikini lakini moyo wangu haukusita kwako,
Mapenzi yangu yote nikahamisha kwako,
Kwa kipindi hicho nikafurahia kuwa kwako,
Na huba lako kunipatia
Hadi nikakutambulisha kwa wazazi
Bila kinyongo wazazi wakakupokea shangwe kama zote
Lakini sasa hayo mapenzi siyaoni baada ya kupata watu wenye sasampa,
Ukanifanya mimi kuwa chini na nyumbani kukimbia
Afred kuwa na mawazo, mda wote ni kulia
Sasahivi yupo kwa mama ni bukombe
Hana hamu na mapenzi
Sababu mapenzi ni ukipofu
So bola jembe kuliko mapenzi
Killer on the line
Nawakilishaa