Killer on the line
Ya ya ya tunatamba,,,
Pongezi kwa walimu, kwa kuwa mlitujali,
Uwepo wenu muhimu, Kwa kupiga vita Kali,
Elimu kujikimu, na ufaulu kuwa mbali,,
Shukurani twatwaa, kwenu hadharani,
Kifaulu so uchawi,, ndumba wala nini,,
Of course mwanafunzi soma kwa makini,
Soma kwa makini, kitimiza ndoto zako,,
Kazi iendelee,, kitimiza ndoto zako,,, kazi iendelee