Piga down step nauwiname kiasi ,, mikono ukiwa umeweka kwenye nice ama shoulder,, ..kina Herodi wanapanga kukumada,, lakini mipango yao inatoka kwa ubaya ,,x2.
Kamata shingo ,, kamata kichwa ,, kamata ,, mgongo ,, tumutowe kwa mubaya ,, akiingia ndani yetu tunamtowa na ubaya ,, Moja, mbili, tatu shetani mubaya ,, x4
Chomoka x2 shetani n mubaya, anapanga mipango zake wew kuweka kwa ubaya,, usiwaaa mbie rafiki zako mipango zako ,, watachukulia kusudi nawakuweke kwa ubaya. si uwongo na sinanga ubaya ,, npate kila sunday church nikiwa nmeng'ara, nasubiri neno lake lijekwangu, liingiye liniponye na linitowe ubaya,(( sina ngori mob , sina story mob , nimecome na ubaya kaa Dj more,, x2
Siambiliki , sishikiki ,, mwili wangu ndio nyumba ya mwokozi ,, hio ngoma nimetowa juu ya upendo ,, kanipenda , nampenda, tunapendana hakika tunafanana. Kidisine amenibless , kanitowa kwenye mess ,,adi rapper zangu zote manze naona ziko best , mkitalk mm natalk ,, mchili mm nachili,, sipendangi kuabishwa na ujinga wa shetani,.... kanyaga shingo ,, hum gift kanyanga shingo ,, kanyaga mbavu ,, kanyaga mgongo ninavunja adi backbone