[Intro]
Moyo unalia, speedo Kenyan on this one
[Verse 1]
Nilikupea moyo, mrembo Suzan
Mapenzi yetu yalikuwa mwanga
Ghafla uliondoka, nateseka
[Chorus]
Suzan, mbona umeniacha?
Ninaumwa na upweke, bila wewe
Rudi, nirejeshe upendo wetu
[Verse 2]
Ninajaribu kuendelea, moyo unauma
Ninaota siku zako zirudi
Bila sauti yako, dunia ina giza
[Chorus]
Suzan, mbona umeniacha?
Ninaumwa na upweke, bila wewe
Rudi, nirejeshe upendo wetu
[Outro]
Nasubiri mwangaza wako, Suzan