Tumeona mabali ,tumeona ma ashera ,tumeona madagoni ila hatukuwafuata.
Mungu ni mmoja tu wa kuabudiwa ,aliye umba dunia na vitu vyote
Mungu tunaye mtumikiya atatuokowa na nguvu za moto,na hata asipo tuokowa hatuta abubu miungu.
Wakuabudiwa ni jehovah ,Mungu wajuu saana.
Asiye na mwanzo wala mwisho ,aliye umba ila hakuumbwa.
Yeye ni alpha na amega, wakwanza tena wa mwisho.
Pooh. Sifa zote zina yeye.