(chorus)
ranex Ryan music...
niliambiwa.
Leo nayaona kwa macho,
waloniamibia,
wananicheka Kama mtoto,
mbona mwanzoni tulicheza wote Kama watoto,
mbona Leo unaniacha,
unasema kisa Nina utoto,
ranex Ryan music
(verse1)
waliniambiaa mapenzi,
hayana wema hata kudogo,
hayo hayo mapeeenzi,
kuna muda yanafurahisha Sana,
tena mapenzi sometime yanaua jama,
ranex Ryan music
(chorus)
**********
(verse 2)
ahadi nyingi tuliweka Mimi na yeye,
mbona Leo unaniacha Mimi mwenyewe,
nilimwambia siwezi bila yeye,
ila bado ameniacha mwenyewe,
najiuliza nitaeezaje bila yeye,
Ina maana ndo nitaishi mwenyewe,
(chorus)
*********
(verse 3)
sijui nitumie aina gani ya maneno,
nieleze nilvyo mpenda,
Mimi yeye nilimpenda,
saaana,
story of our love,
so bad,
nililia Kama mtoto,
ndomana kila siku nooma,
mi siwezi toa moyo,
ranex Ryan music