[Intro]
Meeelow on this
(Verse)
Shebebe ni adui yangu,
Kichwa inafanana na managu,
Meno zake ziko kombo zinafaa manager,wakuzi manage,
Anajifanya mjanja na yeye hukula charger,
Anajifanya chopi na vitu yeye hu copy,
Ni mdaku na anapenda wamama,
Kwa udaku wajua wanafanana,
(Chorus)
Shebebe ni nyako,
Akona mugadi na atakula na gladice ,
Yeye sio rafiki tena yeye adui yangu ,
,(Verse)
Mimi niko na bugatti yeye ni mugadi,
Anapenda kula na mnyambo katikati ,
Ako na mambo na vile ana bo,
Vitu mingi huwa za kitambo lakini juu ya,udaku amezi save kwa mtambo,
(Untro)
Oya shebebe mii usinilete,
Nitakupiga acha vile unaone nimetulia sitaki ,mambo lakini ukikuja hivyo itakuwa mambo,
Urafiki imeisha wewe ni adui yangu ,