Eeeh mungu baba mimi muja wako na malengo nmengi sana ndoto zangu azijatimia maisha ni magumu Kuna muda nakosa hata chakula sio mimi tu tupoo weeengi sana wengine
Hatuna hata pa kulala mvua jua baridi Kali mbu sisi ndio chakula Chao
Ni wakati Sasa wa kusubili upendo wako utupe nguvu ya kusubili liziki zetu tunasubili tunasubili oooh! Maisha Bora afya njema malazi Bora zaidi
Mungu baba litazame taifa letu Tanzania Tanzania imekuwa na mikwaluzano kiasi Cha tushiana amani mioyo yetu imejawa na uoga mkubwaa naiombea Tanzania amani itawale naombea serikari Bora na uongozi Bora
My Lord dear God tusaidie wananchi tuinuke kimaendeleo tuwe na mitazamo chanya yenye tija kwetu tufanikiwe kiuchumi pia mungu baba msaadie raia mmoja mmoja wakati wa kuchagua viongozi wasishawishike hata kirushwa wawaepuke wachague kiongozi walio na Imani naye kuwa peleka kanani na sio mafisadi wa nchi
Mungu baba Bado tunaimani tuko na wewe siku zoteee ila Sasa Kuna watu wamekuwa wakitunyang'a hata kidogo tulicho nacho wakisingizia ni sadaka na matoleo ya fungu
Watu wako waangamia kwa kukosa maarifaa vitabu vyako vimeweka wazi ilo kwamba watakuja manabii wengi wa uongo msiwakubali ila cha kushangaza ndio wamekuwa wakiaminika na miujiza yao mungu tusaidie tupate subira tusipapalukie vitu tusubili wakati wako maana ulisema wakati na bahati uwapata watu wotee
Nasubili saa ya kufanikiwa kwangu nasubili saa ya kuja kwako eeeh mola wangu nipe kusubili hata liziki yangu ulisema Saba ila Sasa wamebadilisha yamekuwa mawili yaani kupata na kukosa naomba tuondolee hata hiyo liziki ya kukosa tubaki na Moja tu
Nasema yote kwa shukurani zangu kwa wote walio isapoti nyimbo hii ifike mbali nawapemda watanzania na Africa mzima tuamke tujenge Africa yetu pia tupendane umoja Asante sana mdau wangu
Thanks God to make has bright and shine I love everyone ear this song today