[Verse 1]
Nilikusikia kwa mbali, sasa nimekuona.
Nili hadithiwa habari zako, kwangu umejitokeza.
Wewe ni kweli tena amina, Bwana uhai wewe si bali.
Nakuamini, asilimia elfu
Ukisema unafanya, ukiahidi unatimiza
Haudanganyi wausahau, Bwana watunza maagano.
Uliye nipa tumbo, Utanipa chakula.
Uliye nipa afya, hutaninyima mavazi.
Ooh ooh Bwana nakuamini.
[Chorus]
Najivunia wewe Yesu mwanga maisha yangu.
Nita nganga nawe sikuachi kamwe.
[Verse 2]
Ooooh ooooh. YESU NAKUAMINI
OOOOOOH YESU NAKUAMINI
[Bridge]
Katika huzuni na furaha, wewe upo karibu.
Ninapoogopa, unaniabia ‘moyo wangu umeonyesha njia’.
[Chorus]
Najivunia wewe Yesu mwanga maisha yangu.
Nita nganga nawe sikuachi kamwe.
[Outro]
Ooooh ooooh, YESU NAKUAMINI, YESU NAKUAMINI.