[Intro]
Tangazo, tangazo, kwa watuwote waliofuga mifugo
Tunawaletia chakula cha mifugo, chakula bora kabisa
[Verse 1]
Kwaajili ya wateja, tumekusanyia aina zote
Chakula cha pumba ya maindi na pumba ya mupunga zote ziko
Pumba ya mupunga na ya maindi, zotete upatikahapa
Piga nambari, tukusimamia, huduma ni ya uhakika
[Pre-Chorus]
Masaa ya kazi ni ishirini na nne, uduma safi, ya uhakika
Kwa wateja tunasimama, kwa muda wote wa siku
[Chorus]
Chakula cha mifugo tutakuhudumia, bila ukosefu wa pumba
Aina zote zipo, kwa bei na ubora wa hali ya juu
Wateja kalibuni, sisi tuko hapa kukusimamia
Uduma uwakika, kwa muda wote wa masaa ya kazi
[Verse 2]
Tangaza tena, chakula kinapatikana, hakika ni bora
Pumba ya ng’ombe, mbuzi, kondoo,kuku kilaaninaya mufugo lazima itakayoboreshwa
Chakula cha muda mrefu, kilicho bora kwa mifugo yako
Wasiliana nasi, tuweke mpango wa lishe bora
[Bridge]
Tunakuzihudumia kwa kwao, bila kuchelewa, bila shaka
Chakula safi na bora, kwa mifugo yako itakua na afya
[Chorus]
Chakula cha mifugo tutakuhudumia, bila ukosefu wa pumba
Aina zote zipo, kwa bei na ubora wa hali ya juu
Wateja kalibuni, sisi tuko hapa kukusimamia
Uduma uwakika, kwa muda wote wa masaa ya kazi
[Outr
piga namba
sifulisaba
sitini
sabininatisa
ishilininatisa beikitonga
sitininanane