[Intro]
Skrrt, skrrt, yeah
[Verse 1]
Wateule wanashangilia, makofi shangwe na vigelegele
Furaha zimepanda, leo ni sherehe kubwa
Muji wa makimbilio Bunya Nzere wanashangilia
Ndoa imeheshimika na watu wote, si maneno tu
Apôtre Jerlass na Maman Merveille, Mungu amewapa ushuhuda
Victorieze vivuya na bonere wawatakia Maisha mema kwenye ndoa yenu
Sifa za Kristo choir twatangaza, upendo ndani ya mioyo yenu
Wabadilisha dunia, tunasema amani ya milele idumu katika ndoa yenu
Diaconi jenéral, kwa furaha tele tunawatakia Maisha mema katika ndoa yenu ya baraka
[Pre-Chorus]
Mtawale kila siku, faraja na neema zifike nyumbani kwenu
[Chorus]
Leo ni siku tofauti na zengine, furaha tele duniani
Papa Jerlass na Maman Merveille wameunganishwa, mbele ya Mungu na mbele ya wateule
Alicho kipanga Mungu kimetimia leo, hatuwezi kuzuia
Kwa heri ya maombi, baraka zifike kwenye ndoa yenu
[Verse 2]
Leo ni siku ya furaha tele, dunia imetambua
Watu wote wameshuhudia, upendo wa milele unaanzia hapo
Amani ya Kristo Alie hai ionekane, ndani ya mioyo yenu nyinyi wawili
Wamitume wote wapaza sauti ya shukrani kwa Mungu wa Mulindwa Jile wakisema ibarikiwe mwanzo katika Maisha ya unyumba wenu
[Bridge]
Pamoja tunatangaza neema isiyo na mwisho
kila siku, mlipwe mafungu ya baraka na upendo wa kweli
[Chorus]
Leo ni siku tofauti na zengine, furaha tele duniani
Papa Jerlass na Maman Merveille wameunganishwa, mbele ya Mungu na mbele ya wateule
Alicho kipanga Mungu kimetimia leo, hatuwezi kuzuia
Kwa heri ya maombi, baraka zifike kwenye ndoa yenu
[Outro]
amani KICHEKO upendo , kila siku itimie na baraka za MUNGU wa Mulindwa zifwatane nanyi
[End]