Nata nata kwako nimenata,
Unavyonyumbulika kwako siwezi Toka,
Kwenye ligi ya mapenzi eeh we ndo kocha
Nipange winga full back nitakupa unachotaka,
Maana nilichonacho kwenye mfumo kinamechi,
Pre chorus
Kindanindani, nimezama mie kwako
Hivyo usipaniki,kwa kuzani mi mcharuko
Yapaswa utabasamu,mi ndo Mista maupendo
Chorus
Laaaaalaaaaalaaaa Mista maupendo
Yeaaaah uuulalalaa Mista maupendo
Mista Mista Mista maupendo
Uuuulaaaaa ohh ohhhh oooohhh
Mista maupendo upendo upendo
Verse 2
Nimezaliwa nikupende uulaaaaaaa
Umezaliwa unipende mimi tu
Unipe ulichonacho ulaaaaaaaa
Nikupe nilichonacho yeaaaah
Mapenzi ya moyoni na sio ya machoni
Mi ndo wako sweet yeaaaah
Call me Mista maupendo lalalaaaaa
Eeeh eeh
Pre chorus
Kindanindani, nimezama mie kwako
Hivyo usipaniki,kwa kuzani mi mcharuko
Yapaswa utabasamu,mi ndo Mista maupendo
Chorus
Laaaaalaaaaalaaaa Mista maupendo
Yeaaaah uuulalalaa Mista maupendo
Mista Mista Mista maupendo
Uuuulaaaaa ohh ohhhh oooohhh
Mista maupendo upendo upendo
Outro
Baba nancy asante kwa kutunga