À l'espoir de la resurrection Père Mbusa Muhemi, mbona umeenda gafla? Umetuacha nauzuni mwingi kweli maisha ya mwanadamu nikama mauwa Yana mea asubuyi jiona Yana Kauka.
Mzee Muhemi ulale salama tuta kukumbuka daima.
Mzee Muhemi wajukuu wako tuna kulia Babuyetu
Babu Mbusa Muhemi mjukuuwako Ezra Mulavi nakulia sana babu nimeshindwa kuelewa ulikuwa ukimtimikia Mungu, umelea watoto wengi umesomesha wengi siwezi kueleza mema yako yote maana nimengi ila tu nnacho amini ni kwamba tuta onana karibuni yesu ana Kuja kututwaa Mbusa Muhemi lala salama