INTRODUCTION
Am degaul king. Man pika em. Agasterahhh
COUPLE
Ahadi leo ime timiya, ya kwenda nyumbani.
Ulisubiri sana darling uhone wazazi. Zidisha hupole,zawadi nyingi wata kupatiya, tuki fika nyumbani. Kusu maneno ndo husijali tutahishi kwa mani heeeh kwanza wakikwona, famillia na jirani wata jihisi furah, ye tuta funga ndoa me and you love bébé, tuhishi kwa furah.
Wane shekenena ono to INE mashimbola INE nobeeeh na owa mkochi ongangé makolo mabo'o obe Nina Hola inabo heeeh
CORAS
yaka to bina, to binaaa. Yote ya zamani bébé am sorry,am sorry my. Futa kinyongo baby uje tucheze. Yaka to bina to binaaa. Kama nili kosa dahé!! am sorry am sorry my