[Intro]
Cha kutumaini Sina,ila damu yake Yesu
Sina wema wakutosha, Dhabi zangu kuziosha
[Verse]
Njia yangu iwe ndefu,yeye hunipa wokozu
Mawimbi yakinipinga, Sina hofu mbele zake
[Chorus]
Kwake Yesu na simama ,ndiye mwamba ni salama ,ndiye mwamba ni salama ×2
[Verse]
Ndamu yake na sadaka ,Natengemea daima ,yote chini yakiisha mwokozi atanitosha
[Chorus]
Kwake Yesu na simama ndiye mwamba ni salama ,ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama