(Eeeh baba eeeh mama eeeh kaka eeeh dada eeeh ndugu na jamaaa )
[Kaaa chini kwanza nikupe maji utulize na kusuuza moyo wako kuna jambo nataka nikueleze najuwa linaweza kuwa gumu au linaweza kukushangaza naitaji sikio lako na making wa akili yako nisikilize mwenzako roho yangu inatamani mimi nikwambie kitu kizuri kinaweza kukusaidia tambua wewe ni mwanadamu ulieumbwa na mungu leo nia yako ya kutaka kujua nini kiko ndani ya moyo wangu ninayopaswa kuku elezeea]
:Ningependa utembee viwango vingine badilisha taswira yako ya rohoni moyoni na mwilini nataka uonekane tofauti na uwe wa viwango vya mungu nakuomba sasa chukua hatua haba na haba ujaza kibaba :
Sogea usikie jambo hili ninaweza kukuponya kiafya hadi kimawazo cha kwanza mungu anakupenda na hana mpango wa wewe kuwepo duniani juwa kwamba wewe una nguvu ya ndani ambayo alikupa mungu wakati unazaliwa wewe unauwezo wa kutawala nguvu ya asili kwa kutuliza puumzi yako ya kati pia wewe unaweza kubeba hekima za watu wengine kushuisha matatizo ya kijamii yote
Nakuita sasa tumia nguvu hizo uwe bora zaidi leo na kesho thamani yako haina kipimo duniani wewe ni mkuuu na mtawalawa wa wa ulimwengu na dunia wewe unatawala viumbe wanao one kana na wasio onekana miamba saba yote sayari saba zote inakuonesha wewe umepewa utajiri mkubwa kiasi hiki wewe ni mtawala asante