Flayi kila mengi niliyameza machache niliyatema
Kwamistari ihi uwezi ukatoka Tena
Kabla ujanichukia Mimi we mchukie mama ako alie kuleta duniani nakukutana na Mimiiii
Simamaakaa
Simamaakaa
Simamaakaa
Luka Luka Luka simamaakaa
Vitumbua vyote sawa ila utamu tofauti endelea kuonja onja we utakutwa na umauti tutakutupa kwa kaburi
Ujana maji ya moto wenzako tushayaoga mi flai kila mi natisha kama njaa Mimi ni Mimi wewe ni wewe Ata ufanye vipi uwez fika nilipo Mimi nyinyi madogo acheni shobo msije mkakalia gogo daa
Simamaakaa
Simamaakaa
Simamaakaa
Luka Luka Luka simamaakaa
Flaikila
Olamuboy record
YATIMA CLASSIC RECORD