[Intro]
Toka lunya lunya, mama mwana wa lunya
Aah, Official B... Billion
[Verse 1]
Kweli mapenzi hisia
Jay alisema, leo mashuhuda
Japo nimeshindwa kukuambia
Vitendo bado hujaona
Mh...
Kila usiku nakuota wewe
Asubuhi nakutafuta bure
Moyo unalia kimya kimya
Na midomo yangu... imefungwa
[Pre-Chorus]
Kama ugonjwa, balaaah
Sijui hata lini nitapona
Unanitesa sana, basi niepushe na haja kshoma
Heeeeh ee
Shida maisha yangu ya kusuasua
Nakosa ujasiri wa kumwambia
Kweli hizi hisia... zitaniua
[Chorus]
Mh
Nenda mwambie mi nampenda yeye
Nenda mwambie siwezi ishi bila yeye
Mkimwona (mkimwona...)
Nenda mwambie mi nampenda yeye
Nenda mwambie siwezi ishi bila yeye
[Verse 2]
Ama nimpe moyo wangu na mtima ashike yeye
Ili ajue nimezama mazima kwake yeye
Maana sigara na pombe nimeacha
Sababu yake yeye
Siku za Jumanne napita kwake kwa mbali
Naogopa hata salamu... mh
Baby why you wanna leave me
Why you wanna go (ooh)
Why you wanna leave me, iiiihh
Why you wanna go
Heeee...
[Pre-Chorus]
Shida maisha yangu ya kusuasua
Nakosa ujasiri wa kumwambia
Ukinicheki mimi wa kishua
Kweli hizi hisia zitaniua (zitaniua...)
[Chorus]
Mh
Nenda mwambie mi nampenda yeye
Nenda mwambie siwezi ishi bila yeye
Mkimwona (mkimwona ah)
Nenda mwambie mi nampenda yeye
Nenda mwambie siwezi ishi bila yeye
[Bridge]
Nimejaribu kusahau... siwezi
Nimejaribu kupona... siwezi
Yeye ndio dawa yangu (mmm)
Yeye ndio dawa yangu...
[Chorus]
Nenda mwambie (mwambie...)
Mi nampenda yeye
Nenda mwambie siwezi ishi bila yeye
Mkimwona
Nenda mwambie mi nampenda yeye
Nenda mwambie... siwezi bila yeye
[Outro]
Mh... nampenda yeye
(Nenda mwambie...)
Siwezi... bila yeye
Mmm...