(verse 1)
ra ra ra rayan ranex music
(choir)
mi ningejua nisingempa moyo wangu.
ningetambua asingeuteka moyo wangu.
(verse 2)
sawa nilimpenda
nilimpenda vibaya
jinsi nilivyo mpenda
anavyo Fanya sio sawaa
malipo ya kumpenda hayafai kuwa haya.
(chorus)
mi ningejua mapema.
nisingekupa moyo wangu.
ningetambua mapema.
nisingefanya uwe wangu.
uwe wangu Mimi (wangu Mimi)
nisinge kubali uwe wangu (mpenzi wa Mimi)
(natamani kukusahau. kidongo angalau. Ila moyo unashindwa...nitawezaje kukusahau sawa wanionyesha madharau......ila nashindwa kukusahau....
********(verse 3)
unanichiti mbele yangu naona (SAWA)
unavyo Fanya roho inasonona(sawa)
ungejaribu hata huruma kuona(mama)
Ila miko sawa
nilie mpenda niwewe
nakuomba Sana
usiruhusu nilewe
maana
mengi unayo Fanya
ntakusamehe mwenyewe
*******