Brag dealer mm ndo drug dealer ,, life ni 5t ninasumbua adi haters. X4.
Ukinibeba ndani roho mm siogopi ,, chini ya waba ninakula adi under age.. misiogopi watume mm siogopi ,,ndani ya keja wananiita mweshimiwa.kina brayo sikuizi wameniogopa ,,nikipita wanalia nimepita ,, madem wao mm ninakula pia nao... sitambui kienyeji ama colour ,,, 040 kuingia na kutoka , kijana wao wananiita blog dealer .. mistari sio chocha mm natema,, adi ssaru wa manyaru mm namtaka...
Nimeokoka tena Mungu namwaabudu ,lakini kwenye life mm nasaka ganji.. njia yoyote mm siogopi ninapita ,, na mahetas nyny mbaki mkibonga ... life yangu mm mwenyewe naimanage ,, mukibonga minajuwa mumeniogopa ,,dem ni pengty ,,anataka ganji ,mnataka nikisota wamuteke ,,niparare ndo muwanze kunisema ,,mm ni dealer napita njia zote ,, drug dealer 040 ndio kutoka ,,,,
Ameniblesss,, ameniweka high ,, adi rapper zangu zote ziko best ,,040 mm najuwa niko top ,, nazinguwa na mistari yangu kali , adi wengine wananiita m n ai,, kama ndovu kuu narap kama Enga,, kiupole mimi nawakilisha md ,,Busia boder mm natesa adi kwale ..nikipita wananiita wee mubabas. Life ni 5t wew tafuta kwanza ganji..