itwa LB
ume ashahanza kubatisha bakina babulniga
(LB🥷🇺🇸
yes m'y Friend îlenikweli sana
tena nakuja n'a power
Siri ya baba n'a mama
acha nibape Stori
Siri yamuziki kuposti
achanibape mi stari yaku piga mapzi
YOJOSS 🇨🇩🥷
Bukavu mzima imesha kujuwa
japokuwa aucha kuwa n'a feza
iposiku atasipataga atakamatuko n'a zishaka
atakama bako nakushusha
iposiku uta bashushaka
atakama Bana kupingaka
iposiku bata kuhitikaka
atakama bako nakusema
iposiku bataku eshimiyaka
najoma zidi jipa power
nahimani tena yaku sima
LB
nimeskiya ilenikweli
uliongeya, tenaminakuya show
show show bilaboga