Kila nilicho nacho ni mali yako hata huu moyo naweza sema wako usiniache mchumba nitateseka mwenzako naomba unifanye niwe mwenyewe moyoni mwakooo hhooo sweet nakupenda mbaka naumwa siku ukija kuniacha mwenzako pombe nitakunywa hooohh sweet nakupenda mbaka naumwa ukija kuniacha mwenzako pombe nitakunywa hohoo usinaache nakupenda mamaa usiniacheeee kama Lambeau wamesha sema mengi tena mbaka wakasema etty manganji sikupendi hawakujua kama wewe ndiye chaguo langu