Sumaiya issa,jina lililo moyoni mwangu,wewe ni wangu habiti,penzi letu lidhatiti,nipe vyote vya chumbani,vitamu tamu kitandani,oooooooooo mahbubaaaaaa nitakupenda mpaka kufaaaaa.
Ua langu la waridi lenye harufu ya mahabati,Rangi yenye kuvutia,malavu mia kwamia,ooooo sumaiyaaa nakupenda sanaa