[Intro]
I go by the name plan B classic
[Verse]
Kusema kweli nakupenda Mami
Umenifanya niwe Wa dhamani
Staki kuwa single kama zamani
Nako Enda we ndo Ramani
Niko mjini nasaka money
Mahitaji nikuridhishe
Kisimani bebi unizamishe
Wenye nguvu tuwapishe
Ukinuna unaa pendeza
Tabasamu nikiteleza
Staki kugongwe Na kina mababu
Vile umetuna nyuma ajabu
Kabinti mwarabu hakanaga maringo
Kwenye ligi hunipa mastingo
[Chorus]
Wacha mambo mingi msee Rada mkuu