The only one small osking oscar.
Kama mapenzi ni mwendô ; bora mimi nitanguliye,
Mwanamuke sio sura ila mweneendó; muniache ni ji chaguliye,;
Kwanini wa umiza moyo waangu kupenda nimesha kupenda, usiku muchana silali na kwako nimesha weka naanga, ata marafiki wana niuliza sijuwe Nini ya kusema nalingaka buutu mobimbaa nde nge osala nga liboma ayé ayé.
Umeniroga Aahhnn
Umeniroga Aahhnn
Umeniroga Aahhnn
Mapenzi ni ugonjwa wa moyo osking nani anitunze isipokuwa wewe, i need you to day to Morrow,
Ahah basi mimi ni wako na Wewe uwe wangu, na pendaka ka penzi unapo nipa, mwenzako nisha rogwa, unanimaliza mwili kwajili ya penzi lako, ni tamu mama iyeeé
Umeniroga Aahhnn
Umeniroga Aahhnn
Umeniroga Aahhnn
Nilipo anza safari ya ma penzi mimi nawe, wengi wali tu tazama na wengine waka tu cheka my darling, acha ni waombeye wabaya wetu mungu awalinde tu.
Baby you are my everything, you are my way, can you Living with me, kwa wengine nisha koma, na kwako nisha zama,nataka twende kwa mama,nikakutambulishe ku jamaa, i wish you good life and me,
Umeniroga Aahhnn
Umeniroga Aahhnn
Umeniroga Aahhnn
Bébé tu me rend heureux, quand je suis à côté de toi, et surtout j'aime te blague quand nous sommes à deux,
Na mbeto nayo butamu kaka, busiku muchana unanipaka, na eeenjoy na penzi lako ni tamu mama. Asante mungu kwa kunipa mwanamuke murembo tena muzuri kama weeee,
Umeniroga Aahhnn
Umeniroga Aahhnn
Umeniroga Aahhnn
Oskiinge mwaana mbooka
K.Black_richins_badguy
Wauni_classic_busness_music.