[Verse 1]
Ukiwaona machoni kama watu
Tunawajua
Mmhh baby tunawajua
Kumbe kikulacho kinguoni mwetu
No tunawajua
Mmhh baby tunawajua
Kama si Mungu ni miungu si mzungu mdigo wala machame wa mara
Wewe ni wa kwangu umeletwa toka mbali kwa mababu
Aibu aibu kisura ushapendwa na mamangu (cha mama)
Si utani nikuweke wazi mwezionishano gewa
Tabibu ya yangu maradhi yaani nimerogewa
Habibi habiba ya ukweli sadiki anikakuna fiki
Ahadi ahadi tuishinde tabiti tuitupishe nadiki
[Chorus]
Mara ngapi nakukosea
Ila launi pananafasi
Mara ngapi najikosea
Lau yanideta nayo nafsi
Konde konde konde nikutumbukie nyongo
Tetema konde konde fusa babu yake chongo
Ukiwaona machoni kama watu
Tunawajua
Mmhh baby tunawajua
Kumbe kikulacho kinguoni mwetu
No tunawajua
Mmhh baby tunawajua
Mmhh baby tunawajua
Aaah mmmh